top of page

MADA ZA KISWAHILI - KIDATO CHA TATU

MADA 1: Ngeli Za Nomino

 

  1. Kuzielewa ya Ngeli

    • Fafanua upatanishi wa kisarufi katika sentensi

    • Andika habari zenye upatanishi wa kisarufi

 

MADA 2: Mjengo Wa Tungo

 

  1. Maana ya Tungo

    • Maana ya Tungo

    • Bainisha aina mbalimbali za tungo

    • Maana ya Kirai na Uainishaji wake

    • Maana ya Kishazi na Uainishaji wake

  2. Ufafanuzi wa Aina za Tungo

    • Maana ya sentensi

    • Muundo wa sentensi kimapokeo/kikazi/kidhima

    • Uainishaji wa sentensi

    • Kubainisha uchanganuzi wa sentensi

 

MADA 3: Maendeleo Ya Kiswahili

 

  1. Asili ya Kiswahili

    • Onesha ushahidi wa kimsamiati na kimuundo unaothibitisha ubantu wa Kiswahili

    • Fafanua jinsi miundo ya Kiswahili inavyofanana na miundo ya lugha nyingine za Kibantu

  2. Kukua na kuenea kwa Kiswahili nchini Tanzania katika enzi ya Waarabu

    • Elezea ukuaji wa Kiswahili kimsamiati nchini Tanzania katika enzi ya Waarabu

    • Elezea ueneaji wa Kiswahili nchini Tanzania katika enzi ya Waarabu

  3. Kukua na kuenea kwa Kiswahili nchini Tanzania katika enzi ya Wajerumani

    • Fafanua ukuaji wa Kiswahili nchini katika enzi za Wajerumani

    • Elezea ueneaji wa Kiswahili nchini Tanzania katika enzi za Wajerumani

 

MADA 4: Uhakiki Wa Kazi Za Fasihi Andishi

 

  1. Maana ya Uhakiki

    • Fafanua dhana ya uhakiki

    • Elezea misingi ya uhakiki

  2. Uhakiki wa Fani katika Kazi za Fasihi Andishi

    • Hakiki fani katika riwaya ya Takadini

    • Hakiki fani katika Riwaya ya Joka la Mdimu

  3. Uhakiki wa Fani katika Tamthiliya

    • Fani katika Tamthiliya ya Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe

    • Hakiki fani katika tamthiliya ya Kilio Chetu

    • Hakiki fani katika tamthiliya ya Orodha

    • Hakaiki fani katika tamthiliya ya Watoto wa Mama N’tiliye

  4. Uhakiki wa fani katika Ushairi

    • Hakiki fani katika Ushairi wa Wasakatonge

    • Hakiki fani katika Ushairi wa Mashairi ya Chekacheka

    • Hakiki Fani katika Ushairi wa Malenga Wapya

  5. Uhakiki wa Maudhui katika Kazi za Fasihi Andishi

    • Hakiki Maudhui katika riwaya ya Takadini

    • Hakiki maudhui katika Riwaya ya Joka la Mdimu

  6. Uhakiki wa Maudhui katika Tamthiliya

    • Maudhui katika Tamthiliya ya Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe

    • Hakiki maudhui katika tamthiliya ya Kilio Chetu

    • Hakiki maudhui katika tamthiliya ya Orodha

    • Hakiki maudhui katika tamthiliya ya Watoto wa Mama N’tiliye

  7. Uhakiki wa Maudhui katika Ushairi

    • Hakiki maudhui katika Ushairi wa Wasakatonge

    • Hakiki Maudhui katika Ushairi wa Malenga Wapya

    • Hakiki maudhui katika Diwani ya Chekacheka

 

MADA 5: Utungaji Wa Kazi Za Fasihi Andishi

 

  1. Utungaji wa Hadithi

    • Pambanua mikondo ya uandishi wa hadithi

  2. Utungaji Tamthiliya

    • Elezea dhima ya tamthiliya

    • Tunga tamthiliya

 

MADA 6: Uandishi Wa Insha Na Matangazo

 

  1. Uandishi wa Insha za Kisanaa

    • Elezea misingi ya kuandika insha

    • Andika insha za kisanaa

  2. Uandishi wa Matangazo

    • Elezea vipengele vya kuzingatiwa katika uandishi wa matangazo

 

MADA 7: Kusoma Kwa Ufahamu

 

  1. Kusoma Kimya

    • Jibu maswali ya ufahamu kutokana na habari uliyosoma

    • Fupisha habari uliyoisoma

bottom of page