top of page

KUFUNGWA KWA SHULE


TAARIFA YA LIKIZO NDEFU 

Tunapenda kuwataarifu wazazi na walezi wote kwamba shule itafungwa kwaajili ya likizo ndefu ya mwezi december kwa kipindi cha mwezi mmoja kuanzia tarehe 07/12/2023 mpaka tarehe 10/01/2024.


Wanafunzi wote waje wachukuliwe siku ya kufunga shule ambayo ni ijumaa tarehe 08.12.2024 kuanzia  saa mbili asubuhi.


Katika kipindi hicho cha likizo wanafunzi wanahimizwa kufanya 'Home Work Project' walizopewa pamoja na kwenda 'Study Tours" zilizoandaliwa na shule. 


Karibuni sana,

MKUU WA SHULE

14/11/2024





KUFUNGWA KWA SHULE

St. Matthew's Schools

P. O. Box  75451

Dar es  Salaam – Tanzania  

Located at Kongowe Mbagala,

Kipala Mpakani, Along Kilwa Road

​

Email: info@stmatthewsschools.ac.tz

St. Matthew's Secondary:     

St. Matthew's Primary:           

St. Mark's Secondary:           

Ujenzi Secondary:                 

Victory Secondary:               

Image Vosa Secondary:        

Academic Office:                 

School Manager:                   

+255 754 698 845

+255 735 510 005

+255 754 698 841

+255 789 131 388

+255 766 907 991

+255 762 483 040

+255 677 058 291

+255 735 510 003

  • Facebook
  • Instagram
  • Twitter
  • YouTube

St. Matthew's Schools © 2023 

All Right Reserved

Privacy Policy

​

bottom of page