top of page
KUFUNGWA KWA SHULE
TAARIFA YA LIKIZO NDEFU
Tunapenda kuwataarifu wazazi na walezi wote kwamba shule itafungwa kwaajili ya likizo ndefu ya mwezi december kwa kipindi cha mwezi mmoja kuanzia tarehe 07/12/2023 mpaka tarehe 10/01/2024.
Wanafunzi wote waje wachukuliwe siku ya kufunga shule ambayo ni ijumaa tarehe 08.12.2024 kuanzia saa mbili asubuhi.
Katika kipindi hicho cha likizo wanafunzi wanahimizwa kufanya 'Home Work Project' walizopewa pamoja na kwenda 'Study Tours" zilizoandaliwa na shule.
Karibuni sana,
MKUU WA SHULE
14/11/2024
Latest Posts
bottom of page