top of page

STUDY TOUR

Moja kati ya utamaduni wetu ikiwa ni sehemu ya kujifunza kwa wanafunzi wetu ni kufanya Study Tours.

Wanafunzi wetu wa kidato cha kwanza mpaka cha nne kwa mwaka wa masomo wa 2024 wanatarajia kufanya Study Tour yao mwezi wa sita wa mwaka 2024 Katika maeneo ya Kilimanjaro, Mkomazi National Park, Ngorongoro National Park, Sarangare, Lake Manyara na Chemka Hotspring.


Kwa kidato cha tano na sita 2024 watafanya study Tour mwezi wa sita pia katika maeneo ya Udzungwa National Park, Ruaha Park, Mikumi National Park, Ngome ya Mkwawa pamoja na kwenda Bungeni.

Yote hayo yanafanyika kwa bei nafuu sana.

karbu sana St.Matthew's Secondary Schools.


Bofya kuona pichaSTUDY TOUR
bottom of page