top of page

Alumni

Public·8 members
Davis _hyacinth
June 9, 2021 · joined the group.
November 21, 2020 · joined the group.

HABARI WANA MATTHEW WOTE TULIOFANIKIWA KUMALIZA 2015 POLEN NA MAJUKUMU YA HAPA NA PALE NATUMAINI WOTE NI WAZIMA WA AFYA NA KAMA KUNA MMOJA WETU NI MGONJWA AU ANATATIZO BASI MUNGU AMBARIKI NA AMPONYE .

NATHANI WOTE TUNAFAHAMU MSIBA HUU WA KIJANA MWENZETU TULIEMALIZA NAE MATTHEW (*BAKSH*)ALIEFARIKI DUNIA JUZI AKIWA NCHINI KANADA KWA TATIZO LILILO MSUMBUA KWA MUDA MREFU (kansa)mungu ailaze rohoyake mahali pema ,HIVYO BASI ANATAKIWA KUSAFIRISHWA KUJA TANZANIA KWA MAZISHI AMBAPO KUTOA MWILI KULE KUULETA HUKU NI GHARAMA KUBWA HIVYO SIO MBAYA TUKIWA KAMA WANAFUNZI AU VIJANA WENZAKE TULIO ISHINAE KWA MUDA MREFU KUCHANGIA CHOCHOTE KUWEZA KUFANIKISHA JAMBO HILO TUKISHIRIKIANA NA FAMILIA YAKE NA WANAJAMII WENGINE ILI KUWEZA KUUFIKISHA MWILI WA MAREHEMU NA KUWEZA KUUSITIRI SEHEMU SALAMA.

INGEPENDEZA KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE MCHANGO UANZIE SHILINGI ELFU TANO (5000) KWENDA JUU KWA KILA MWANAFAMILIA WA MATTHEW ILI ANGALAU TUWEZE KUFIKISHA HATA (2m) AU HATA (5m)TUKIAMUA TUNAWEZA KWA KWA…

Raphael james mdoe
Raphael james mdoe
August 21, 2020 · joined the group.

About

Welcome to the St. Matthew's Alumni! You can connect with ot...
bottom of page