top of page

MADA ZA KISWAHILI - KIDATO CHA PILI

MADA 1: Uundaji Wa Maneno

 

 1. Kutumia Uambishaji

  • Bainisha mofimu katika maneno

  • Bainisha dhima za mofimu

 2. Kutumia Mnyumbuliko

  • Elezea mazingira yanayosababisha mahitaji ya maneno mapya

  • Fafanua dhima ya uambishaji na mnyambulikoa wa maneno

  • Unda maneno mbalimbali kwa kutumia mnyambuliko

  • Tumia maneno ya mnyambuliko katika miktadha mablimbali

 

MADA 2: Matumizi Ya Lugha Katika Miktadha Mbalimbali

 

 1. Rejesta

  • Wasiliana kwa kutumia rejesta

  • Elezea dhima za rejesta

 2. Misimu

  • Wasiliana kwa kutumia misimu

 3. Lugha ya Kimazungumzo na ya Kimaandishi

  • Bainisha sifa ya lugha ya kimazungumzo

  • Elezea dhima ya lugha ya kimazungumzo na ya kimaandishi

  • Tumia lugha ya kimazungumzo na ya kimaandishi katika miktadha sahihi

 4. Matamshi na Lafudhi ya Kiswahili

  • Elezea lafudhi mbalimbali za Kiswahili

 5. Utata katika Mawasiliano

  • Elezea Sababu za Utata

 

MADA 3: Uhakiki Wa Kazi Za Fasihi Simulizi

 

 1. Uhakiki wa Ushairi

  • Elezea vipengele vya fani na maudhui katika kuhakiki ushairi

 2. Uhakiki wa Maigizo

  • Elezea vipengele vya fani na maudhui katika kuhakiki maigizo

 

MADA 4: Uhifadhi Wa Kazi Za Fasihi Simulizi

 

 1. Njia za kuhifadhi Fasihi Simulizi

  • Bainisha njia za kuhifadhi fasihi simulizi

  • Elezea ubora na udhaifu wa kila njia ya kuhifadhi kazi za fasihi simulizi

 2. Umuhimu wa kuhifadhi kazi za Fasihi Simulizi

  • Elezea faida ya kuhifadhi fasihi simulizi

 

MADA 5: Utungaji Wa Kazi Za Kifasihi

 

 1. Mashairi

  • Fafanua kanuni za utungaji wa mashairi

  • Igiza ngonjera

 2. Maigizo

  • Elezea kanuni za utungaji wa maigizo

 

MADA 6: Uandishi

 

 1. Insha za Hoja

  • Elezea muundo wa insha za hoja

 2. Barua Rasmi

  • Elezea dhima ya barua rasmi

  • Elezea muundo wa barua rasmi

 3. Simu

  • Elezea dhima ya simu ya maandishi

  • Andika simu za maandishi kwa kuzingatia muundo na taratibu za uandishi

 4. Kadi za Mialiko

  • Fafanua muundo wa kadi ya mialiko

 5. Uandishi wa Dayalojia

  • Elezea dhana ya dayolojia

 

MADA 7: Usimulizi

 

 1. Usimuliaji wa Matukio

  • Fafanua njia za usimulizi wa matukio

 

MADA 8: Ufahamu

 

 1. Ufahamu wa Kusikiliza

  • Jibu maswali ya ufahamu kutokana na habari uliyoisikiliza

  • Fupisha kwa mdomo habari uliyoisikiliza

 2. Ufahamu wa Kusoma

  • Soma kwa sauti kwa kuzingatia lafudhi ya kiswahili

  • Jibu maswali kutokana na habari uliyoisoma

  • Fupisha habari uliyoisoma

 3. Kusoma kwa Burudani

  • Mambo ya kuzingatia katika usomaji kwa burudani

 4. Matumizi ya Kamusi

  • Elezea jinsi ya kutumia kamusi

bottom of page