top of page

MADA ZA KISWAHILI - KIDATO CHA KWANZA

MADA 1: Mawasiliano

 

 1. Lugha kama Chombo cha Mawasiliano

  • Elezea maana ya mawasiliano

  • Fafanua dhima za lugha katika mawasiliano

  • Fafanua matumizi na umuhimu wa lugha

 2. Matamshi na Lafudhi ya Kiswahili

  • Elezea maana ya matamshi

  • Bainisha sauti za lugha ya Kiswahili

  • Elezea kuhusu lafudhi ya Kiswahili

 

MADA 2: Aina Za Maneno

 

 1. Ubainishaji wa aina Saba za Maneno

  • Bainisha aina saba za maneno ya Kiswahili

 2. Ufafanuzi wa aina za Maneno

  • Elezea maana ya kila aina ya neno

 3. Matumizi ya aina za Maneno katika Tungo

  • Elezea matumizi ya aina za maneno katika tungo

 4. Matumizi ya Kamusi

  • Elezea maana ya Kamusi

  • Elezea jinsi ya kutumia kamusi

  • Fafanua taarifa ziingizwazo katika kamusi

 

MADA 3: Fasihi Kwa Ujumla

 

 1. Dhima ya Fasihi

  • Elezea dhana ya fasihi

  • Fafanua dhima za fasihi katika jamii

 2. Aina za Fasihi

  • Fafanua dhana ya fasihi simulizi

  • Elezea sifa na dhima za fasihi simulizi

  • Fafanua dhana ya fasihi andishi

  • Elezea sifa na dhima za fasihi andishi

  • Onesha tofauti kati ya fasihi andishi na fasihi simulizi

 

MADA 4: Fasihi Simulizi

 

 1. Ubainishaji wa Tanzu za Fasihi Simulizi

  • Bainisha tanzu za fasihi simulizi

 2. Ufafanuzi wa Vipera vya Tanzu za Fasihi Simulizi

  • Fafanua vipera vya hadithi

  • Fafanua vipera vya ushairi

  • Fafanua vipera vya semi

  • Fafanua vipera vya maigizo

 3. Uhakiki wa kazi za Fasihi Simulizi

  • Elezea umuhimu wa uhakiki wa kazi za fasihi simulizi

  • Elezea vigezo vya uhakiki wa kazi za fasihi simulizi

  • Elezea uhakiki wa hadithi

  • Hakiki matumizi ya semi katika hadithi

 

MADA 5: Usimulizi

 

 1. Usimulizi wa Hadithi

  • Elezea njia za usimulizi wa hadithi

 2. Usimulizi wa Habari

  • Fafanua taratibu za usimulizi wa matukio

Uandishi Wa Insha

 1. Insha za Wasifu

  • Elezea hatua za uandishi wa insha

  • Fafanua muundo wa insha

  • Tofautisha insha za kisanaa na zisizo za kisanaa

 

MADA 6: Uandishi Wa Barua

 

 1. Barua za Kirafiki

  • Elezea muundo wa barua za kirafiki

 

MADA 7: Ufahamu

 

 1. Kusikiliza

  • Elezea mambo ya kuzingatia katika ufahamu wa kusikiliza

  • Jibu maswali kutokana na habari uliyosikiliza

 2. Kusoma kwa Sauti

  • Elezea mambo ya Kuzingatia katika ufahamu wa kusoma kwa sauti

  • Jibu maswali kutokana na habari uliyosoma

 3. Kusoma Kimya

  • Jibu maswali kutokana na habari uliyosoma

 4. Kusoma kwa Burudani

  • Fafanua mambo ya kuzingatiwa katika ufahamu wa kusoma kwa burudani

bottom of page